music 4rever

Videos

Tuesday 9 October 2018

BREAKING NEWS: Producer Pancho Latino afariki dunia kwa ajali ya maji Mbudya

Producer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama Mafia, amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama na maji wakati akiogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jiijini Dar es Salaam.


Wadau mbalimbali wa sanaa na burudani wameanza kutoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki kufuatia msiba huu mzito.
Taarifa zaidi zitafuata. Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema peponi Amen.
Share:

0 maoni:

Post a Comment

Gallery

Featured Posts

Column Right

Search This Blog

Carousel

Feat

Archive

Definition List

Recent Posts