
Producer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama Mafia,
amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama na maji wakati akiogelea kwenye
kisiwa cha Mbudya, jiijini Dar es Salaam.
Wadau mbalimbali wa sanaa na burudani wameanza kutoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki kufuatia msiba huu mzito.
Taarifa zaidi zitafuata. Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema peponi Am...