Tuesday, 20 November 2018
Wednesday, 14 November 2018
Mp one amkana mpenzi wake adharani...
Msanii wakizazi kipya anetamba na ngoma yake ya utanikumbuka akana kutoka kimapenzi na moja kati ya wafanyakazi Wa meneja wake..
Taree 04/11/2018 wawili hao walionekana wakiwa pamoja katika uwanja Wa ccm kirumba jijini mwanza,na haya ndio majibu ya Msanii mp one...kueni makini coz tunakoelekea mtatusingizia kutoka hata na Dada zetu maana kuonekana na mtu sio mpaka awe mpenzi wako,navipi kama angekuw wakiume sasa??,
Mimi Sina mausiano yakimapenzi na yule binti,ile kuwa pamoja Siku ile tulienda kuangalia zoezi la timu anayoipenda yeye Mimi nilienda kama msindikizaji tu,yule ni binti Wa ndani kabisa Wa boss wangu na siwezi toka nae kimapenzi hata iweje,alisema mp one.

Saturday, 20 October 2018
Friday, 19 October 2018
Thursday, 18 October 2018
Tuesday, 16 October 2018
Monday, 15 October 2018
Sunday, 14 October 2018
Friday, 12 October 2018
Thursday, 11 October 2018
Wednesday, 10 October 2018
Tuesday, 9 October 2018
BREAKING NEWS: Producer Pancho Latino afariki dunia kwa ajali ya maji Mbudya
Wadau mbalimbali wa sanaa na burudani wameanza kutoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki kufuatia msiba huu mzito.
Taarifa zaidi zitafuata. Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema peponi Amen.