
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni baba mlezi wa mwanamuziki
Dogo Janja, Madee Ali amekanusha tetesi za kuvunjika ndoa ya Janjaroo
na mke wake Irene Uwoya na kudai taarifa zinazosambazwa mitandaoni
hazina ukweli wowote.
Akizungumza na EATV Madee na kusema yeye mwenyewe anashangazwa na
taarifa hizo kuzagaa mitandaoni, kwa watu kuongea masuala mengi juu ya
ndoa hiyo bila ya kuwa na uhakika wa jambo husika.
“Dogo Janja na
Irene...