...
Tuesday, 20 November 2018
Wednesday, 14 November 2018
Mp one amkana mpenzi wake adharani...

Msanii wakizazi kipya anetamba na ngoma yake ya utanikumbuka akana kutoka kimapenzi na moja kati ya wafanyakazi Wa meneja wake..
Taree 04/11/2018 wawili hao walionekana wakiwa pamoja katika uwanja Wa ccm kirumba jijini mwanza,na haya ndio majibu ya Msanii mp one...kueni makini coz tunakoelekea mtatusingizia kutoka hata na Dada zetu maana kuonekana na mtu sio mpaka awe mpenzi wako,navipi kama angekuw wakiume sasa??,
Mimi Sina mausiano yakimapenzi...